Utengenezwaji wa ''Juma Nature ft Msaga Sumu - Inaniuma Sana Remix EXTENDED VERSION'' HD

30.05.2015
Nimefikiria pengnine kuna watu ambao wanajiulizaga natengeneza vipi Extended Versions zangu kwahiyo nikaona nianze kutengeneza mfululizo wa Videos ambao utakuwa unaonyesha jinsi nnavyozitengeneza kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Nimeanza na hii, inaonyesha jinsi nilivyotengeneza Extended Version ya wimbo mpya wa JUMA NATURE FT MSAGA SUMU - INANIUMA SANA REMIX kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Kwa baadhi ya watu waliokuwa wakidhani natumia VIRTUAL DJ kutengeneza mtakuwa mmeshapata jibu. Situmii hiyo. Ukitaka kupata audio extended zote za Selector Ejay rahisi bonyeza hii link itakupeleka moja kwa moja kwenye page yangu www.hulkshare.com/mitupio pia unaweza kuungana nami kupitia :- Mitupio Music - Facebook Page Yangu Selector Ejay - Facebook Accoount Yangu mrmitupio - Instagram na Twitter www.audiomack.com/selector ejay Ntashukuru kama ntapata maoni, ushauri au kukosolewa ili kunijenga zaidi. Unaweza kuacha comment yako hapo chini au kupitia njia mojawapo ya mitandao ya kijamii niliyoitaja hapo juu Ahsanteni

Похожие видео