'Maiti Yafufuka' Naivasha

09.01.2014
Mkaazi mmoja wa Naivasha atasalia kusimulia masaibu yake kwa muda, baada ya kuwa ndani ya chumba cha maiti kwa saa 15. Jamaa huyo alizozana na baba mzazi, na mzozo huo ukaelekea kumfanya atake kujiua kwa kunywa sumu, na alipofikishwa hospitalini, alidaiwa kufariki. Hata hivyo, saa kumi na tano baadaye kwenye chumba cha maiti, ikajulikana kwamba hakuwa amefariki, sasa anaendelea na matibabu hospitalini huku akisumulia, masaibu ya wafu.

Похожие видео