'Watanzania hawako huru kumkosoa Rais Magufuli'-TWAWEZA HD

30.03.2018
Taasisi ya TWAWEZA imetoa ripoti yake kuhusu tafiti mbalimbali walizofanya nchini ambazo zimelenga katika nyanja ya Kisiasa, Uchumi na Kijamii. Akizungumzia utafiti huo Mkurugenzi wa Twaweza Aidan Eyakuze amesema “Nusu ya Watanzania hawajisikii huru kumkosoa Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu”

Похожие видео