Free Fl Studio Plugin HD

06.05.2017
Kwa wote mnaofuatilia tutorial zangu, mmekeuwa watu wa muhimu sana kwani mchango wenu umesababisha mimi kufika hapa nilipo na leo Channel ya Richstar Imefikisha Subscribers zaidi ya 600, Hii ni ishara tosha kuwa Nyuma yangu kuna vijana wengi wananifuatilia. Kwa hio katika Kufurahia pamoja nimeamua kutoa Bure yaani FREE FL STUDIO PLUGIN Ili ikusaidie kwa namna moja au nyingine. Jinsi ya Kudownload bonyeza https://www.facebook.com/RichstaTz/app/208195102528120/ na kisha fuata maelekezo KUMBUKA LAZIMA UTUMIE COMPUTER KU DOWNLOAD Kumbuka kusubscribe na ku share video zangu.

Похожие видео

Показать еще