Dj Seven Worldwide - Niite Feat. Country Wizzy, Conboi Cannabino & Joslin (Official Music Video) HD
Official Music Video for "Niite" with Country Wizzy, Conboi Cannabino & Joslin. Niite, popularly known as "Niite Basi" is a tanzanian classic love song released 13 years ago to a huge reception and household popularity. I hope this remix gives you a deja vu Listen to “Niite” here: https://song.link/i/1609856238 Subscribe to Dj Seven Worldwide: https://www.youtube.com/c/DJSEVENWORLDWIDE Follow Dj Seven Instagram: https://www.instagram.com/djsevenworldwide/ YouTube: https://www.youtube.com/c/DJSEVENWORLDWIDE Digital Branding & Marketing: Mavin Inc. Instagram: https://www.instagram.com/mavinmagmt/ Email: mavinmagmt@gmail.com WhatsApp/Call: +255759628220 Produced By B Boy. More Songs From DJ Seven: https://www.youtube.com/watch?v=wpMe1aHT0nE&list=PLqTHyep_7CqipstAibWHMbPr3HvNERIXt&index=1 Niite Lyrics B Boy (Joslin) Mmmmh mmmh Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizonazo niza kwangu Njoo oo Njoo oo Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizonazo niza kwangu Njoo oo Njoo oo [Conboi Cannabino] I really can’t get no sleep Thinkn about you love I want you close to me Moyo unakuitaji na iko wazi on the real Nataka nikueleze ujue exactly how I feel Zile time tuko alone Tuko ndani tumechill Niite basi mpenzi Na ushajua whats the deal Unavyoniita mpenzi Girl, You know you drive me crazy Wacha wanione mshenzi Mi mwenzako sijiwezi Haipiti siku if I don’t see you I feel ka mwezi Street Nigga Ila niko deep na mapenzi Siambiwi wala siskii Kama ndezi Utasema kama vile Niko bui na maulevi Navile unavyonukia so sexy Marashi unapuliza so freshy Niite basi mpenzi uwe wangu Kama Mungu akipenda milele utakuwa wangu Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizonazo Niza kwangu Njoo oo Njoo oo Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizonazo Niza kwangu Njoo oo Njoo oo [Country Wizzy] Mi nataka twende kwetu kwa wazazi Lakini Mpenzi ubadilishe mavazi Kusudi tukifika wasilete vipingamizi Njoo basi Njoo Mpenzi Uu I swear to God huyu mtoto ni pretty Naweka ndani mama tupate mtoto ikibidi Siunaona jinsi unavyopoa mapamba, mawigi, makopakopa kwa wigi Mapochopocho kwa fridge Lazima uwake Lazima utakate Itabidi uvimbe Itabidi uwake Ukianguka nikianguka unidake Naimeandikwa kila abiria achunge mzigo wake Na ndo maana nakuchunga Nakuahidi mama ntakutunza Nachokipata nitaleta kwa nyumba Ata mama alinifunza Mwanamke nyumba Naitunza You know [Joslin] Ndo maana nasema Niite wewe [Niite] Ndo maana nasema Niite baby [Niite] Ndo mana nasema Niite [Niite] Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizonazo Niza kwangu Njoo oo Njoo oo Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa ndugu zangu Shida zote ulizonazo Niza kwangu Njoo oo Njoo oo Yeah Niite basi mpenzi uwe wangu Nikakutambulishe kwa
Похожие видео
Показать еще