ENEWZ - Nai abwagana na Moni?

05.06.2018
Penzi ambalo limedumu kwa muda mrefu la Rapa Moni Centrozone na model Nai limekufa baada ya Moni kupata mchepuko. Nai kwenye eNEWZ anaweka wazi kuwa amesha mfumania Moni na Mwanamke mwingine, licha ya Moni kukanusha na hata huyo mchepuko akipiga simu Moni anazuga. Ila kwa sasa kila Mtu kona yake.

Похожие видео

Показать еще