MAALIM SEIF Ashindwa Kujizuia, Bila Uoga Akinukisha Vibaya, Aomba Huruma ya Polisi Ataja CCM HD
Aliyekuwa katibu mkuu CUF kwa sasa Mshauri Mkuu ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema hayo wakati akizungumza na wanachama wa ACT Vingunguti Dar- es Salaam.