NYALANDU Ashindwa kuvumilia! bila uoga Atuma Ujumbe Mzito kwa watawala kisa MBOWE na Matiko HD

17.01.2019
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii nchini, Mh. Lazaro Nyalandu. amesema kuwa jambo la kuwaachia huru viongozi hao ambao wapo mahabusu ya Segerea jijini Dar es salaam kwa kufutiwa dhamana na Mahakama ya Kisutu, lina tija sana kwa nchi na Watanzania kwa ujumla. CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI.

Похожие видео