TBC: NAPE,KIGWANGALA Waungana/Wataka Watumishi Kuingia JESHINI HD
TBC: NAPE,KIGWANGALA Waungana/Wataka Watumishi Kuingia JESHENI Waziri wa Maliasili na Utalii amewataka watumishi wote walio chini ya wizara yake kuhakikisha wanajiunga na jeshi USU. Huku akiwataka watumishi katika idara nne kuchangia kila idara milioni mia moja ili kujenga jengo la utawala chuo cha mweka. Kwa upande wake Nape ameunga mkono uamuzi wa wizara hiyo na kusema kuwa wao kama kamati ya kudumu ya maliasili na utalii ya bunge wapo pamoja na wizara hiyo huku akishauri serikali waanze kuchukua wafanyakazi kutoka katika chuo cha mweka. #NAPE #KIGWANGALA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...