TBC: Mkandarasi atokomea na bilioni 1.4 HD

10.11.2018
TBC: Mkandarasi atokomea na bilioni 1.4 Mmiliki wa kampuni ya ujenzi NCL mjini Bukoba mkoani Kagera ametokomea kusikojulikana mara baada ya kutelekeza mradi. Kitendo hicho kimeamsha mjadala mkali katika baraza la madiwani mjini hapo kwani tayari kampuni hiyo ilikuwa imeshalipwa fedha kiasi cha shilingi bilioni 1.4 za kitanzania. Baraza hilo la madiwani limeridhia hatua iliyo chukuliwa na mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya manispaa ya bukoba ya kuvunja mkataba na kampuni huku likishauri hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi ya kampuni hiyo. #TBCHABARI Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Похожие видео

Показать еще