TBC 1: Milioni 700 Zapigwa Butiama, RC MALIMA Afunguka! HD

21.01.2019
TBC 1: Milioni 700 Zapigwa Butiama, RC MALIMA Afunguka! Mkuu wa mkoa wa mara, Malima Kagoma Malima amedai kuwa alifika katika halmashauri ya wilaya ya Butiama na kukuta pungufu ya fedha kiasi cha milioni 700 ambazo ni makusanyo ya kodi kutokana uchimbaji wa madini katika mgodi wa Buhemba wilayani Butiama. Aidha Mhe. Malima ameutaka uongozi wa mgodi wa Magunga usimamishwe kwa kushindwa kutatua migogoro ya wachimbaji. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw. Jiunge na Familia ya Global TV Upande Mtandao wa Mafanikio Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club https://goo.gl/mkvuo

Похожие видео