COPY & PASTE MWALIMU NYERERE NA MAGUFULI

13.10.2016
Miaka 16 ya kifo cha baba wa Taifa ni kama yupo pale Nchi jirani atarudi kesho,kuibuka kwa Rais Magufuli akifuata mistari ya mzee huyu kunaamshi hisia pana ya uadilifu na uwajibikaji kwa watumishi wa umma,kumbukumbu za Hayati baba wa Taifa zinaendana na Taklibani umri wa mwaka mmoja wa utendaji wa Rais Magufuli, Mengi yameshuhudiwa vita dhidi ya ubadhirifu,Rushwa na ufisadi vimeiweka Taswira mpya ya baba Wa Taifa.Hapa kazi tu ni neno linashabiana na lilela baba wa Taifa uongozi wetu ni kuchapa kazi tu.

Похожие видео

Показать еще