Cleophas Malala na Fernandes Barasa wafanya kampeni Kakamega HD
Kampeni za kutafuta kiti cha ugavana zimepamba moto katika kaunti ya Kakamega ambapo Cleophas Malala wa chama cha ANC na mgombea wa Azimio One Kenya Ferdinand Barasa wakipania kumrithi gavana Wycliffe Oparanya. Wawili hao wamesalia na siku mbili kabla ya muda wa kampeni kukamilika na uchaguzi kufanyika Jumatatu.