MAGAZETI YA LEO - AZAM TV 11/03/2019 HD
Sumaye afunguka kumfuata Lowassa. Hatma ya waliomteka MO wiki hii, IGP Sirro ajipanga kueleza umma kila kitu. Ndege ya Ethiopian yaua watu 157. Yanga inajipigia tu Ligi Kuu Bara. Bosi soka Kenya afa ajali ya ndege Ethiopia. Mabao sita yaipa kiburi Azam FC. Ni baadhi ya vichwa vya habari vilivyotikisa kurasa za magazeti ya leo.
Похожие видео
Показать еще