IDHAA YA KISWAHILI HADITV. Jina la kipindi: MAFUNZO YA AHLUL BAYT A.S - Hadi TV - 20th April 2016

22.04.2016
IDHAA YA KISWAHILI HADITV. Jina la kipindi: MAFUNZO YA AHLUL BAYT A.S mada: KUZALIWA KWA IMAM ALI bin ABU TALIB A.S Historia fupi ya kuzaliwa imam Ali a.s, na nafasi yake katika uislam na umma wa kiislamu na ubora wake. Mzungumzaji ni Shekh Ramadhani kutokea Tanzania Mwendesha kipindi Idris Tarimo Haditv najaf ashrafu.

Похожие видео