KHAMIS Atinga FAINALI za BSS, Apewa ZAWADI Kubwa, AIMBA Stejini WATU HOI...! HD
KHAMIS Atinga FAINALI za BSS, Apewa ZAWADI Kubwa, AIMBA Stejini WATU HOI...! Miongoni mwa watu waliohudhuria katika Fainali za kumsaka mshindi wa Bongo Star Search, ni pamoja na Khamis maarufu kama Khamis BSS, ambaye alikuwa mshiriki pia aliyetolewa kwenye mchujo siku chache kabla ya fainali.. Khamis ni mshiriki aliyezua gumzo sana mitandaoni na aliyekuwa na nguvu ya umma, ambapo kwa ufupi alikuwa chaguo la watu, na kwa kuthamini hilo, Star Times, wameamua kumpa TV kubwa ya nchi 32 kama sehemu ya mchango wake BSS... GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV: https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEW: https://www.youtube.com/playlist?li