MAGAZETI AUG 16: Baba Jokate Afichua Siri Nzito ya Wema, Uwoya
MAGAZETI AUG 16: Amka na Global TV Kila Siku Alfajiri Dar es salaam: Urban Cost Ndunguru, Baba mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, amefichua siri nzito ya Miss Tanzania 2006, Wema sepetu na Irene Uwoya inayowakwamisha wasifikie malengo yao. Ndunguru aliliambia Amani katika mahojiano maalumu kwa njia ya simu Hivi karibuni kuwa: "Mwanangu, Wema na Uwoya wote wanandoto zakuwa wanasiasa na viongozi wa umma lakini hawa wawili kuna mambo yanawakosesha fursa. Tafuta Gazeti la AMANI Ambalo tayari lipo Mtaani kwako kwa Shilingo 500 Tu, Usome Stori Hii na Nyingine nyingi za mastaa wa Bongo. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..