BILA WEWE BY VICKY KITONGA (Official Video) SKIZA CODE 7618986 HD

14.03.2019
BILA WEWE is a prayer to God to lead us everywhere we go till the very last day when we shall receive the CROWN . May it be your desire to have a daily walk with Him. God bless you all. Subscribe, Like and share. Psalms 23:1-6 Bila Wewe Bwana Siwezi Bila Wewe Bwana Siwezi Niongoze Eeeh Bwana , Popote Niendapo , Hadi Siku ya Mwisho , Taji hiyo Nipate . Huduma yangu Bwana Siwezi Bila Wewe Bwana Siwezi Biashara yangu Bwana Siwezi Bila Wewe Bwana Siwezi Niongoze Eeeh Bwana , Popote Niendapo , Hadi Siku ya Mwisho , Taji hiyo Nipate . Ndoa yangu Bwana Siwezi Bila Wewe Bwana Siwezi Kazi ya Mikono Yangu Bwana Siwezi Bila Wewe Bwana Siwezi Niongoze Eeeh Bwana , Popote Niendapo , Hadi Siku ya Mwisho , Taji hiyo Nipate . Nitaongozwa na Bwana Usiku kucha na Mchana Yesu Rafiki wa Heri Ninakumbuka Kalvari

Похожие видео