BWANA KAMA WEWE UNGEHESABU MAOVU YETU KWAYA YA MT. CECILIA MAVURUNZA - NYIMBO ZA KWARESMA HD
MANENO YA WIMBO Bwana kama wewe Ungehesabu maovu yetu, (nani angesimama, nani angesimama, nani angesimama mbele yako) x 2 1. Lakini kwako kuna msamaha, ili wewe uogopwe, nimemngoja Bwana, Roho yangu, na neno lake nimelitumaini. 2. Nafsi yangu inamngoja Bwana, kuliko walinzi, walinzi waingojavyo, asubuhi, naam walinzi wangojavyo asubuhi. 3. Ee Bwana toka vilindini, nimekulilia, Bwana sauti yangu, usikie, masikio yako yasikie dua zangu. NOTA ZA WIMBO http://www.swahilimusicnotes.com/wimbo/bwana-kama-wewe-ungehesabu-maovu/1610