Wewe upo Mjini, hauna Ajira, unafikiria chakufanya January Makamba anakuita HD
Leo May 31,2018 tukiwa katika maonyesho ya wiki ya mazingira, tunaye Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, January Makamba ambapo anasema asilimia 70 ya Mkaa wote unaokatwa nchini unatumika Dar es Salaam