MPIGA GITAA WA DIAMOND ALIYEAMUA KUOKOKA, ASEMA MUNGU AKIKUITA HAUWEZI KUGEUKA NYUMA HD
Emmanuel Materu ni mpigaji wa gitaa la bass ambaye alikuwa akifanya kazi na Nasibu Abdul Juma Diamond Plutnumz siku za karibuni kabla ya kuamua kuokoka na kumpa Yesu Maisha yake.