UAMUZI wa YANGA Kuhusu AJIB - "Akitaka Aende Popote Tu" HD
UAMUZI wa YANGA Kuhusu AJIB - "Akitaka Aende Popote Tu" Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, anatarajia kuikabidhi klabu ya soka ya Yanga uwanja wao wa mpira uliopo Kigamboni jijini Dar mapema hapo kesho Juni 21.... Akizungumza na wanahabari Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Fred Mwakalebela, amewaomba mashabiki wa Yanga wote kukutana katika makao makuu yao kwa ajili ya kuongozana kwenda kukabidhiwa uwanja huo Aidha Mwakalebela ametolea ufafanuzi kuhusiana na mchezaji wao, Ibrahim Ajib, ambapo amesema milango iko wazi kwa upande wake atakapomaliza mkataba wake ataamua mwenyewe kuendelea kubaki Yanga au akiona kuna klabu anataka kwenda basi wanambariki. #YANGASC Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho