MKUU wa Chuo ATEKWA MWANZA, Ndugu Wafunguka, MKE Kilio tu! HD
MKUU wa Chuo ATEKWA, Ndugu Wafunguka, MKE Kilio tu! Tukio la kutekwa kwa sheikh Bashir Ngora ambaye ni mkuu wa chuo cha Islamic kilichopo jijini Mwanza limetokea Desemba 6 ,2018 katika shule ya Islamic Nyakato Mwanza. Akizungumza kwa uchungu mdogo wake na Sheikh Bashir alisema tukio hilo limeiacha famili katika wakati mgumu kwani tangu kutokea kwa tukio hilo bado hawajapata taarifa yeyote ya kupatikana kwa ndugu yao licha ya kutoa taarifa Polisi. Aidha waliomba jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa kina ili waweze kumpata ndugu yao huku wakimtegemea Mungu kwa Kufanya maombi kwa Sheikh Bashir Ngora. #SHEIKHATEKWA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw..