MBOWE - "Dah NASSARI Kavuliwa UBUNGE, Spika HAJANIAMBIA" HD
MBOWE - "Dah NASSARI Kavuliwa UBUNGE, Spika HAJANIAMBIA" Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, amesema ameshtushwa na Taarifa za kuvuliwa ubunge kwa Mbunge wa Arumeru, Joshua Nassari, ambaye amevuliwa ubunge jana Machi 15.... Mbowe amesema alipotoka tu gerezani alifanya kikao na Spika wa Bunge, Job Ndugai, lakini hakumueleza kwamba Mbunge wa Chama Chake ana tatizo lolote lile hivyo anaweza kumvua ubunge... Aidha Mbowe amesema hatua ya kumfukuza Ubunge Nassari ni kubwa mno angeweza kuonywa kuliko kumvua Ubunge na kurudia upya uchaguzi unaoisababishia serikali hasara ya zaidi Bilioni Tano... #MBOWE #NASSARI https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho