NIREHEMU BABA YANGU-Official Video, AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR 2020, Copyright Reserved HD
AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR NIREHEMU BABA YANGU- Official Video 2020 Be sure to SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and FOLLOW the Ambassadors of Christ on this channel, but ALSO on: Facebook Page: https://www.facebook.com/Ambassadors-of-Christ-Choir-AOCC Website: http://www.ambassadorsofchristchoir.org Instagram: @ Ambassadors of Christ Choir Email: ambassadorsocc@gmail.com SONG CREDITS: Words, Music, instrumentation & Arrangement: BY SSOZI JORAM Ambassadors of Christ Choir is not for profit choir ministry affiliated to the Seventh day Adventist Church in Kigali-Rwanda. Since 1995, we have only one mission to preach the good news of the kingdom of God through the gift of music. The song NIREHEMU BABA YANGU is one of those songs that will touch the deepest confines of your heart with a piercing message. For those of you who don’t understand Swahili, the video has English subtitles. May you be blest like were are blessed whenever we sing it. 1. Aliniona Bwana akaniwaza kuwa mwaminifu Akatunza neno lake Ndani ya moyo wangu. Kaufunguwa upendo wake wa thamani Na kunipenda Mimi, Mana aliniwaza kuwa mtu apendekae Ref: Ole wangu, Bwana wangu-u, Nimara ngapi nimekuvunja moyo, Nimara ngapi nimekuabisha, Nina majonzi mengi moyoni Baba(Mana) Sikuenenda sawa na mapenzi yako Nani ataniponya isipo kuwa Wewe Nirehemu Baba yangu 2. Mbele ya walimwengu Nina mfano wakuaminika(aa) Lakini nilicho kweli Ninajua mwenyewe Ole wangu Kama nitapimwa na kukutwa napungua Bwana niwezeshe(Bwana) Kauli yangu iwe ndiyo matendo 3. Mbele ya walimwengu Tuna mfano wa kuaminika Lakini tulicho kweli tunajua wenyewe Ole wetu Kama tutapimwa na kukutwa tunapungua Wakati ni Sasa Kurekebisha mienendo yetu.