OMMY DIMPOZ azungumzia Beef na Diamond, MUBENGA, Urafiki na Kiba, Kutoka na Wema, Jokate. Part 1 HD
Hii ndo list ya ngoma 5 kali alizochagua Ommy Dimpoz kwenye The Playlist, Nov 12. 2016 1. Kajiandae - Ommy Dimpoz x Ali Kiba 2. Manuari - Kassim Mganga 3. Sumu - Fid Q 4. Tinny Turner rmx - Designer x Kanye West 5. Mungu Pekee - Nyashinski The Playlist ni kila Jumamosi Kuanzia Saa 6 hadi Saa 8 mchana kupitia 100.5 Times FM na Omari Tambwe (Lil Ommy). Star wako anashuka kubonyeza ngoma 5 kali anazozikubali na mastori kibao. info zaidi follow @LilOmmy kwenye instagram na twitter na make sure una SUBSCRIBE channel hii ili uwe wa kwanza kunasa interviews zote za kibabe. #thePlaylist #TimesFM 100.5
Похожие видео
Показать еще