Dafari - NYAM NYAM (Official Music Video) HD

17.12.2017
Audio by Paulo/Genius Records/MoreLife Media Video by Neo Manuel Pictures c.2017 MORELIFE RIDDIM Intro Dafari again, Preacher Bwoy, adat still me name, "Yeh Man" For Jesus Me Friend "Eehi" Ni Sunday saa nane natoka Church naskia njaa, Leo ni ile day sijafast naskia njaa, So waiter, come haraka cheki ithaa, Usikuje ata na menu "Hear me now" Chorus {Ukileta Nyama Choma Soda na kasembe, Life Ndani ya Yesu wacha nijibambe "wo me do" Nyama Choma Soda leta na kasembe, Life Ndani ya Yesu wacha nijibambe } 2 Verse One Kumbuka Egypt, ile night ya Passover bwoy, Wa Israeli waliminya nyama choma, uno hear me "Hear me now" Kuja kuja ndani said ingia ndani come now, Nje hakuna amani "barabam" Nje kwa mlango Damu ya Yesu inabonga, comedown, Kina Moses na Joshua ndani, Utapata mkate wa uzima we okoka, Wachana na dhambi bye bye we okoka, "My God" Kwa shetani we ondoka, utapata morelife, "Waiter Please" Chorus {Ukileta Nyama Choma Soda na kasembe, Life Ndani ya Yesu wacha nijibambe "wo me do" Nyama Choma Soda leta na kasembe, Life Ndani ya Yesu wacha nijibambe } 2 Verse Two Alisema ye ni mkate wa uzima soma bible uone ni true, Fish na mkate walitia ndani "Hear me now" Last time, kabla aja paa juu, Maboiz waliminya last super mkate na juice, Kama food iko basi kwanini nisinyam, Nita NYAM, nanitasema ka nitam, Toka Machakos hadi Darsalam, salam, Hadi natabasam, Tam Tam, Chakula Tam Tam, We Okoka UiNYAM NYAM, YESU ni mtam tam "Waiter" Chorus {Ukileta Nyama Choma Soda na kasembe, Life Ndani ya Yesu wacha nijibambe "wo me do" Nyama Choma Soda leta na kasembe, Life Ndani ya Yesu wacha nijibambe } 2 Verse Three Kumbuka Egypt, ile night ya Passover bwoy, Wa Israeli waliminya nyama choma, uno hear me "Hear me now" Kuja kuja ndani said ingia ndani come now, Nje hakuna amani "barabam" Nje kwa mlango Damu ya Yesu inabonga, comedown, Kina Moses na Joshua ndani, Utapata mkate wa uzima we okoka, Wachana na dhambi bye bye we okoka, "My God" Kwa shetani we ondoka, utapata morelife, "Waiter Please" Chorus {Ukileta Nyama Choma Soda na kasembe, Life Ndani ya Yesu wacha nijibambe "wo me do" Nyama Choma Soda leta na kasembe, Life Ndani ya Yesu wacha nijibambe } 2 Autro Haahaha! Yeah man! Psalm 34:8, Oh Taste and See that The LORD is good.

Похожие видео