Lipumba ampa dongo Maalimu seif / Anajitangaza Kushida / Adai anajitekenya na kucheka mwenyewe
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Prof. Ibrahim Lipumba, amemkalia kooni katibu mkuu wa chama hiko maalimu seif kwa kudai kuwa hajamshinda mahakamani, amedai kuwa hakuna ushindi wa kesi kwa mantiki ya maamuzi ya jaji.