MORNING TRUMPET: Mafanikio ya tiba Virusi Vya Ukimwi HD
Tafiti-tiba zilizofanyika nchini Marekani zimetoa matumaini makubwa baada ya mgonjwa wa ukimwi kupona ugonjwa huo kwa 100%. Hii inamaanisha nini katika ulimwengu wa tiba? Ungana na wataalam hawa kujua zaidi.