"Mnatupeleka jela, Mnatutesa mpaka lini jamani ? " - HAONGA HD
"Mnatupeleka jela, Mnatutesa mpaka lini jamani ? " - HAONGA Bunge la jamhuri la muungano wa Tanzania linaendelea na vikao vyake jijini Dodoma. Ambapo leo ilikuwa zamu ya Wizara ya kilimo kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wabunge. Ikiwa moja ya sekta nyeti nchini ianyoongoza kwa ajira, wizara ya kilimo ilipata maswali kabambe kutoka kwa wabunge. Miongoni mwa maswali yaliyoelekezwa katika wizara hiyo ni la mbunge wa Mbozi mhe. Paschal lililolenga kujua ni lini serikali itapeleka fedha za tafiti katika zao la kahawa wilayani mbozi. akijibu swali hilo naibu waziri wa kilimo alisema " ...tunataka vituo vyote vya tafiti viwe katika mwamvuli mmoja baada ya hapo vitapelekewa fedha kwa ajili ya kufanya tafiti .." #KILIMO #BUNGENIDODOMA Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: WatchMore Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: