Nyama Nyekundu (Red Meat) Inasababisha Kansa? Sehemu ya Kwanza
Soma Chapisho la TAMKO Hilo la Shirika la Afya duniani ambalo lilitolewa October 2015 kwa kuchambua tafiti zaidi ya 800 na kupata mchojo wa tafiti 56 na zaidi ya tafiti 744 kutupiliwa mbali. Soma zaidi:http://www.thelancet.com/journals/lanonc/article/PIIS1470-2045%2815%2900444-1/fulltext Mwisho kabisa tutaendelea kujifunza jinsi gani Tafiti 6 ambazo zilibaki katika mchujo jinsi gani haziwezi kuwa kiashiria kizuri cha kutufanya tuamini kwamba nyama nyekundu inasababisha Kansa. Hakikisha UnaSubscribe kwa Kupata mfululizo wa video zangu nyingi Jiunge na Lishe Bora App uwe unapata Mafunzo yetu kila siku:https://play.google.com/store/apps/details?id=com.dautechnology.abdimuna.hea Facebook Jiunge nasi kwa mada motomoto kila siku:https://www.facebook.com/drboazmkumboMD/