MAGAZETI SEPT 13: JPM Aibua Utata / LOWASSA Bado Nipo Nipo!
MAGAZETI SEPT 13: JPM Aibua Utata / LOWASSA Bado Nipo Nipo! Kauli ya Rais John Magufuli kuzaa bila kufuata elimu ya uzazi wa mpango,imeibua mjadala mzito. mjadala mkubwa kuanzia juzi upo kwenye mitandao ya kijamii na makundi ya kada mbalimbali huku wengine wakimpiga na baadhi kumuunga mkono katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dk. Vicent Mashinji ambaye kitaaluma ni daktari wa binadamu,alisema elimu ya uzazi wa mpango haikuja kwa bahati mbaya ila ni baada ya tafiti kuonyesha vifo vya kinamama na watoto vimeongezeka. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..SSI