WL Program Jan 7 2018 With Nanauka HD
Kipindi cha WanawakeLive cha kwanza 2018 tupo na @joel_nanauka mtaalam wa Kupanga na Kutimiza MALENGO yako * Haya tafiti ndo zishasema Wanawake 8 kati ya 10 huwa wanashindwa kutimiza MALENGO makubwa katika maisha yao * Unasubiri nini 2018?? Kataa kuwa miongoni mwao kwa kufuatilia kipindi cha kwanza 2018 na @joel_nanauka ili ujifunze jinsi ya kutimiza MALENGO yako! * * *
Похожие видео
Показать еще