KINGWANGALLA KUFUNGUA ONYESHO LA ‘CHIMBUKO LA BINADAMU’ DAR HD
KINGWANGALLA KUFUNGUA ONYESHO LA ‘CHIMBUKO LA BINADAMU’ DARSubscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonyesho ya Chimbuko la Mwanadamu yatakayofanyika katika Makumbusho ya Taifa kesho Januari 23, jijini Dar es Salaam katika Mtaa wa Shaaban Robert. Akizungumza na waandishi wa habari, Mtafiti wa Kimataifa Prof. Audax Mabulla, amesema sinema na onyesho hilo ni matokeo ya tafiti mbalimbali zinazofanyika katika bonde la Olduvai na Laetoli, Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro. Alisema onyesho hilo litaanza kesho saa 11 jioni ambapo wananchi, viongozi na mabalozi mbalimbali wanatarajiwa kuhudhuria. Alieleza kuwa zana zote za zimepatikana katika onyesho hilo na vimehifadhiwa ndani ya Makumbusho ya Taifa ambapo miongoni mwake ni masalia ya zamadamu, zana za mawe na masalia ya wanyama walioishi takribani miaka milioni nne iliyopita. TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER:
Похожие видео
Показать еще