Ukikasirika vunja TV yako nyumbani kama huna uvumilivu wa uwanjani–NAPE HD

23.02.2017
February 23 2017 wakati wa uzinduzi wa mfuko wa kuchangia Serengeti Boys waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo Nape Moses Nnauye amezungumzia kuhusu mashabiki wataokwenda kutazama mechi ya Simba na Yanga Jumamosi February 25 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Похожие видео