DK. KIGWANGALLA, "SIWEZI KUJARIBIWA NA SIWEZI KUCHEZEWA, SIKO HAPA KWA BAHATI MBAYA"
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, DK. HAMISI KIGWANGALLA AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KWA AJILI YA KUKAGUA MPAKA WA MAGHARIBI WA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI NA PORI TENGEFU LOLIONDO TAREHE 05.11.2017, AFAFANUA TAMKO ALILOTOA LOLIONDO TAREHE 26 OKTOBA, 2017 NA KUMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA WANYAMAPORI