MAGAZETI: Mvua Balaa! Vifo Jijini Dar, Ndege Kuanguka, Nyumba Kuzama!!!
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 MAGAZETI: Mvua Balaa! Vifo Jijini Dar, Ndege Kuanguka, Nyumba Kuzama!!! NDEGE iliyoikuwa imebeba watalii kumi na rubani mmoja jana Jumatano, Oktoba 25,2017 ilianguka kujeruhi watalii wawili na rubani wakati ikitua katika uwanja wa Lobo ulio katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara. Kuanguka kwa ndege hiyo ya Kampuni ya Coastal Aviation imethibitishwa na Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, William Mwakilema ambaye amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana majira ya saa tisa alasiri ilipokuwa ikijaribu kutua. Mwakilema amesema chanzo cha ajali hiyo ni mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha na kusababisha uwanja kujaa maji na akaongeza kuwa wakati rubani akitua ndege ilianguka na kusababisha watalii hao wawili kujeruhiwa. FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...