Bambika Remix - Tyrical Ft. Lyrical Erico & Shanky Radics
Chorus bambika bambika na hii ngoma noma na kwa sababu tumeanza hatutakoma na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha na imetoka bombshell bombshell bambika bambika na hii ngoma noma na kwa sababu tumeanza hatutakoma na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha na imetoka bombshell bombshell Verse 1 (Tyrical) bambika shikika halafu wika na kama ngoma imefika basi katika bounce to the beat bounce to the beat feel this heat alafu get into your seat come show kile unacho, fungua macho ujue bombshell tunayo we’ve got what it takes twafanya m-break m-shake to make your body bump and grind usi-mind vile watu wanakucheki hii ni day ya kubleki ukisleki utapata huna chako na wako msako ni vile wafaa uanze hebu look vile tumekam na locomotion music yetu love potion basi set your wheels on motion twende kazi kiwaziwazi bila wasiwasi twajua si wote twataka a good time bila ma-dime na twa-believe, believe hiyo si crime Chorus bambika bambika na hii ngoma noma na kwa sababu tumeanza hatutakoma na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha na imetoka bombshell bombshell bambika bambika na hii ngoma noma na kwa sababu tumeanza hatutakoma na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha na imetoka bombshell bombshell Verse 2 (Shanky Radics) tuna-roll hebu cheki vile bombshell tuna-roll di gal dem beg us dem beg us tuna-roll hebu cheki vile bombshell tuna-roll di gal dem beg us dem beg us uuh, ni Shanky Radics nalia baby please hebu nipe hiyo kiss ni wewe nimechic yaani mambo iko fit na wewe uko fit na tabia yako fiti uuh, ni Shanky Radics nalia baby please hebu nipe hiyo kiss ni wewe nimechic yaani mambo iko fit na wewe uko fit na tabia yako fiti Chorus bambika bambika na hii ngoma noma na kwa sababu tumeanza hatutakoma na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha na imetoka bombshell bombshell bambika bambika na hii ngoma noma na kwa sababu tumeanza hatutakoma na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha na imetoka bombshell bombshell Verse 3 (Lyrical Erico) ngoma ikikubamba basi send di craze bombshell this year we are coming to east wakiskiza tunavyoingiza pesa wanabaki wote wanatupima lyrical ngoma ikikubamba basi send di craze bombshell this year we are coming to east wakiskiza tunavyoingiza pesa wanabaki wote wanatupima hebu katika dada onyesha vile ngoma sasa inavyobamba tingisha hizo vitu washikishe rada kila siku hapa kwenye hii weekendi yo hebu katika dada onyesha vile ngoma sasa inavyobamba tingisha hizo vitu washikishe rada kila siku hapa kwenye hii weekendi yo kwa jina naitwa lyrical kila siku ni official saa yangu ni crucial wacha ukiwa critical kama yule Sean Paul microphoni punctual yo, shake dat thing, yo lemme see you wannabes wanna see you party kupa vitu kali tukisaka mali tukitumia microphoni tumia microphoni Chorus bambika bambika na hii ngoma noma na kwa sababu tumeanza hatutakoma na hii ndio remix tumesasa freestyle ya kuwakilisha na imetoka bombshell bombshell bambika bambika na hii n