KURASA - Mama lishe soko la Tazara Vetenary wameiomba serikali kuwasaid ia kupata jengo
Mama lishe katika soko la Tazara Vetenary wameiomba serikali kuwasaidia kupata jengo la kuendesha biashara zao za vyakula kutokana na jengo wanalotumia kwa sasa kutokuwa rasmi na wanalazimika kulipa shilingi elfu 30 kila mwezi kwa kila mmoja jambo ambalo wamesema hawamudu kutokana na biashara yenyewe kutoingiza faida.