“Homa ya Ini inatibika” – Daktari kaeleza chanzo, dalili na matibabu yake HD
youtube29.07.2017
Homa ya Ini ni miongoni mwa magonjwa yanayotajwa kuwa hatari sana ambapo kutokana na tishio hilo July 28 kila mwaka Dunia huazimisha Siku ya Ugonjwa wa homa ya Ini.