HOTUBA YA WILLIAM RUTO BAADA YA KUSHINDA URAIS KENYA, AMEAPA - "SITALIPA KISASI KWA WALIONIPINGA" HD

15.08.2022
HOTUBA YA WILLIAM RUTO BAADA YA KUSHINDA URAIS KENYA, AMEAPA - "SITALIPA KISASI KWA WALIONIPINGA" ALIYEKUWA mgombea wa Chama cha UDA kwenye uchaguzi wa Rais nchini Kenya William Ruto amechaguliwa kuwa Rais mteule wa awamu ya Tano wa Serikali ya Jamhuri ya Kenya. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) Wafula Chekubaki amebainisha kuwa licha ya kuwa na changamoto kadhaa ikiwemo vitisho pamoja na kushikiliwa kwa baadhi ya viongozi wa Tume hiyo lakini ameswashukuru wakenya kwa kumaliza uchaguzi salama. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Похожие видео