Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God HD
Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu wake wa kutoroka nyumbani na kukimbia. Familia iliyokuwa na furaha ilitenganishwa, binti akamwacha mamake, na babake akawekea kisasi cha ndani dhidi yake. Ni nani aliyekuwa mbunifu mkuu? Na ni nani aliyempatia Xiaolan imani na nguvu, na kumwelekeza kutoroka kizimba na kutembea kwa njia sahihi ya maisha? Yaliyopendekezwa: Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" | The Means the CCP Uses to Capture Christians https://youtu.be/elAlwG_gzPs Swahili Christian Variety Show | "Kuwa Katika Hali Ngumu" (Crosstalk) | Christian Testimony of Overcoming Satan https://youtu.be/5_1MUNoMM7Q Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana. Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCkUDnudSY6_KR123N2Yr7mw Kanisa la Mwenyezi Mungu Facebook: https://www.facebook.com/kingdomsalvationsw/ Kanisa la Mwenyezi Mungu Twitter: https://twitter.com/CAGchurchsw Kanisa la Mwenyezi Mungu Instagram: https://www.instagram.com/thechurchofalmightygodsw/ Kanisa la Mwenyezi Mungu Vimeo: https://vimeo.com/thechurchofalmightygodsw Kanisa la Mwenyezi Mungu Blogger: http://nikanisalamwenyezimungu.blogspot.com/ Kanisa la Mwenyezi Mungu Wordpress: https://nikanisalamwenyezimungu.wordpress.com Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id116629843