MSHTUKO MKUBWA: HELKOPTA 2 ZA JESHI ZAANGUKA, WATU 22 WAFARIKI... HD
MSHTUKO MKUBWA: HELKOPTA 2 ZA JESHI ZAANGUKA, WATU 22 WAFARIKI... Takribani watu 22 wamefariki dunia baada ya helikopta mbili za Jeshi la Uganda kuanguka katika eneo la Goma lililopo Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 28, 2022 na Jeshi la Congo na kueleza kuwa Serikali ya Uganda ilituma wanajeshi wake kwenda Afrika ya kati kwa ajili ya kusaidia kupambana na kundi la waasi linalojulikana kama Allied Democratic Forces (ADF). ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline