TBC: Majaliwa Akerwa Na Ziara Za Kushtukiza / Atoa Agizo HD

03.12.2018
TBC: Majaliwa Akerwa Na Ziara Za Kushtukiza Za Mawaziri/ Atoa Agizo Waziri mkuu Kassim majaliwa Disemba 3, 2018 amefungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wakuu wa mikoa na makatibu wa mkoa yenye lengo la kuwajengea uwezo katika utendaji kazi wao. Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo hayo Waziri Mkuu amewataka mawaziri na manaibu waziri kutoa taarifa juu ya ziara zao katika uongozi wa mkoa badala ya kwenda kwa kushtukiza hali inayoleta mgongano wa kiutawala. Fatilia pia hapa kuona habari hii nyeti https://youtu.be/u3eiA_Rew1s #WAZIRIMKUU Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...

Похожие видео