TBC 1: WAZIRI MKUU AMUWEKA KIKAANGONI MKANDARASI SIRARI
TBC 1: WAZIRI MKUU AMUWEKA KIKAANGONI MKANDARASI SIRARI Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amemtaka mkandarasi wa kituo cha forodhani akiwa na mkaguzi wa TRA wapeleke taarifa kwake kuhusu jinsi fedha zilizokuwa zinatolewa kuhusu mradi huo zilivyokuwa zikitumika, kutokana na kutoridhishwa na jinsi ujenzi huo unavyoendelea. Waziri Majaliwa ameyasema hayo akiwa ziarani mkoani Mara. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..