TBC 1: Serikali Yatoa ONYO! Wakandarasi Kudhulumu Wafanyakazi HD
TBC 1: Serikali Yatoa ONYO! Wakandarasi Kudhulumu Wafanyakazi Serikali ya mkoa wa Singida kupitia mkuu wake mkoa Dkt. Rehema Nchimbi imetoa onyo kwa wakandarasi watakao jaribu kuwadhulumu wafanyakazi wake kwenye malipo au kuwapa mishahara midogo isiyoeendana na Kazi zao. Dkt. Rehema Nchimbi ameyasema hayo alipokuwa ziara ya ukaguzi ya ujenzi wa daraja la mawe wilayani Mkalama lilojengwa na serikali. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...