TBC 1: Serikali Yatenga Ekari Milioni 100 Kazimzumbwi HD

14.08.2018
TBC 1: Serikali Yatenga Ekari Milioni 100 Kazimzumbwi Serikali imetenga ekari milioni 100 kuhifadhi na kuendeleza msitu wa Kazimzumbwi mkoani Pwani. Msitu huo ambao ni miongoni mwa misitu ya zamani zaidi, umeandaliwa mpango maalum wa kuuhifadhi, ili kurudisha uoto wa asili na kupambanana shughuli za kibinadamu, ikiwemo ukataji miti, upasuaji mbao na kilimo, ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa kuharibika kwa uoto wa asili wa msitu huo. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

Похожие видео