Waathiriwa wa maporomoko ya ardhi Pokot Magharibi wajenga makao upya HD
Wakazi wa kaunti ya pokot magharibi walioathirika na mkasa wa mafuriko mwishoni mwa mwaka uliopita wameanza kujenga upya maeneo yaliyoharibiwa. Na kama anavyoarifu collins shitiabayi serikali imekadiria watu hao walipoteza mali yenye thamani ya shilingi milioni 100.