Watu 118 wafariki kutokana na mafuriko Pokot Magharibi HD

28.11.2019
Watu 118 wameaga dunia kufikia sasa katika mikasa iliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha. Takwimu hizo zimetolewa na msemaji wa serikali Cyrus Oguna aliyezuru kaunti ya Pokot Magharibi kutathmini hali ya waathiriwa wa maporomoko ya ardhi yaliyouwa watu zaidi ya 40. Na kama anavyotufahamisha Collins shitiabayi, shughuli za kuopoa miili na kuwasaidia waathiriwa zinaendelea.

Похожие видео

Показать еще