FEMICARE NI DAWA YA FANGASI / FUNGUS, UCHAFU UKENI, HARUFU MBAYA , MAJIMAJI SEHEMU ZA SIRI NA U.T.I. HD

12.07.2018
#FEMICARE_africa #NO_MORE_ANTIBIOTICS #SRONG_TREATMENT Wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili maambukizi ya #fangasi katika sehemu za siri za mwanamke husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS, maambukizi haya pia hujulikana kama YEAST INFECTIONS /THRUSH CANDIDA ALBICANS hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia Chakula (PHARYNX), kibofu cha mkojo, uume au katika uke pia. ~bacteria Hawa huishi katika sehemu hizo Bila kuleta madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika, yanapobadilika, MFANO mabadiliko katika Hali ya PH tutambue PH ya mwanamke ndani ya uke ni 4.0_4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali kama vile MATUMIZI YA MADAWA YA ANTIBIOTICS kama AMPICILLINE, CIPROFLAXINE, AMOXYLINE, DOXYCYCLINE, ERTHROMYCINE, NK pia kupungua kwa Kinga kutokana na magonjwa mbalmbali . ~maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷ (1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH) ~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS (2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH) Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA #FANGASI_KATIKA_UKE · Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri · magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer) · wanawake wenye umri wa miaka 20_30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia · upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk · matumizi ya vidonge vya majira · msongo wa mawazo · kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex) · matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia · kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy) ~ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini ~kuwa na utapiamlo (malnutrition ~kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur ~kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI · kuwashwa sehem za siri · kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia) · kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation · kupata vidonda ukeni (soreness · kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nje wa uke (labia minora · kupata maumivu wakati wa kukojoa · kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au MZITO au majimaji NOTE alili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapoku

Похожие видео

Показать еще